Chuo gani wanafundisha Kozi ya Criminal invistigation hapa Tanzania?

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Habari wadau,

Ningependa kufahamu iwapo kuna chuo Tanzania kinachotoa degree ya crime investigation au crime scene investigation au kama ipo degree nyingine yeyote ambayo part ya modules zake ni izo apo /+ security firms administration, firearms management, forensic na cybercrime.

Mchango wako ni wa muhimu.
 
Chuo cha polisi, kidatu, moroogoro, wanatoa diploma na certificate
 
Chuo cha polisi, kidatu, moroogoro, wanatoa diploma na certificate

Mkuu na mimi nilikuwa na shida kama ya muanzisha mada, ningependa kujua utaratibu wao ukoje hata raia wa kawaida anaweza kwenda kusomea hiyo kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…