Ndugu, mimi nilimaliza form four 2011, nikapata division iv ya 26, matokeo ni kama ifuatavyo: Physics "C ", Chemistry "C ", Biology "C, "B/ maths "D ", English "F ", Geography "D " na Civics "D "2012. Nilituma ualimu sikuchaguliwa.
Pia nilituma KOLANDOTO COLLEGE OF HEALTH, hapo nilichaguliwa kujiunga na diploma ya Laboratory Technology lakini kutokana na ugumu wa maisha sikufanikiwa kujiunga.
Nikasema 2013, nitatuma tena ualimu, lakini kutokana na mipango ya mungu, ilipofika 2013/ mwezi wa 3, nilipata ajali nikavunjika mguu, nilitibiwa Mhimbili kwa sasa naweza hata kutembea.
Sasa, mwaka huu niliona naendelea vizuri nikatuma ualimu lakini ndo hayo yaliyotokea, division iv hatujachaguliwa! Na yametokea hayo muda umeenda hivi. Ndg, naomba kwa anae jua,
Naweza kupata wapi chuo ambacho bado wanaruhusu kujiunga kwa muda huu, anijulishe mapema, kupitia hapa JF au katika email hii (marcoyohana2@gmail.com)
Mungu atujalie uzima amen !