Mkuu fuatilia kwanza utakuta wanatoa mafunzo ya jinsi ya ufugaji bora wa mifugo na sio udaktari wa mifugoNimesikia matangazo radioni:tumaini na clouds wanatangaza chuo kinachotoa mafunzo ya mifugo ndani ya miezi 3 tu na mhitimu atakuwa na uwezo wa kusimamia kazi za mifugo popote, tena anayetaka kujiunga abebe mizigo yake akifika anajaza fomu na kupokelewa hata kama amefeli form four. My take: hii ni aibu hata kwa vyombo vya habari kukubali tangazo kama hili, udaktari wa mifugo SUA wanasomea miaka 5 hata animal sayansi tu ni miaka 3