Mosse Anney Member Joined Feb 6, 2019 Posts 11 Reaction score 3 May 4, 2019 #1 Habarini wadau napenda kuuliza nikitaka kuanzisha chuo cha computer ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo na pia ili niweze kutoa cheti ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo? Asanteni.
Habarini wadau napenda kuuliza nikitaka kuanzisha chuo cha computer ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo na pia ili niweze kutoa cheti ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo? Asanteni.
Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 May 16, 2019 #2 Waone NACTE
M MjasiriamaliElimu Senior Member Joined Nov 21, 2013 Posts 117 Reaction score 69 May 17, 2019 #3 ZAGANZA said: Waone NACTE Click to expand... Au kabla ya kuwaona atembelee website yao.Vyuo vyote vidogo na vya kati vinasimamiwa na NACTE
ZAGANZA said: Waone NACTE Click to expand... Au kabla ya kuwaona atembelee website yao.Vyuo vyote vidogo na vya kati vinasimamiwa na NACTE