Chuo Kikuu bora TZ ni kipi kwa kusomea Uhasibu au Biashara? - ni UDSM, Mzumbe au IFM?

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
1,819
Reaction score
588
Chuo Kikuu bora TZ ni kipi kwa kusomea Uhasibu au Biashara? - ni UDSM, Mzumbe au IFM?

Wadau naomba msaada. Nina uncle wangu anataka kumrejesha mtoto wake aje asomee shahada ya biashara kwenye University/Chuo hapa Tanzania. Ameniomba ushauri kuhusu wapi ampeleke mtoto wake (Chuo bora kwa masomo ya Uhasibu au Biashara). Kwa vigezo rahisi vya popularity x 'quality' nimepata vyuo 3 - UDSM, Mzumbe na IFM. Naomba mwongozo kuhusu kipi bora zaidi (just ranking). Naomba kuwakilisha.
 
ahsante kwa ushauri wa kupitia matokeo ya NBAA.
 
matokeo ya NBAA yanaonesha IFM inaongoza kutoa vichwa vya CPA.
 
Yani we uko nchi gani? Ina maana huijui TIA? Hapo ndo shule bora kwa field unayotaka kwa sababu ni wakala wa serikali kwa mambo ya kiuhasibu na ukaguzi, vilevile ni center ya kufanyia mtihani iliyoteuliwa na Bodi ya uhasibu tanzania pia Mtihani inayofanywa na wanachuo wa pale huwa inakaguliwa na kupitia NBAA Kuangaliwa kama iko standard au imechakachuliwa na katika orodha ya vyuo bora vya uhasibu tz ni no 1 vyuo vingine viligoma kukaguliwa mtihani na bodi ya uhasibu. Na vilevile ukitaka kwenda uchkua CPA inakua rahisi kwako kuwa fevad na NBAA coz unajulikana pale. Ni hayo tuu
 
Msaada:Naomba kuuliza kuwa chuo cha TIA kwa hpa dar kiko maeneo gani?
 
Mkuu IFM sio chuo kikuu ni taasisi inayotoa degree, chuo kikuu ni Mzumbe na UDSM, kwa kukusaidi ungesema taasisi ipi au chuo kikuu kipi
 
Kusoooma mambo ya biashara ifm. Mzumbe . Au udsm....ni heri hiyoo pesa ya kusomea ufungue biashara.....ya bar kuliko kuitumia kusomaaa in short hizii course hazilipiiiii,kazi zake ngumuu kupataaa, daa mara mia ukasomee. English course .. Kuliko kupoteza muda kusoma course amabazooo future yake unaishia mtaaaniiiii
 
Kwa hiyo kusoma wapi ndipo unapata kazi kwa urahisi?
 
Course za uhasibu watu waliosoma ni wengi kazi zipo chache
 

thanks mkuu kwa taarifa mimi ndo niko mwaka wa tatu nasoma BCOMeducation na ninataka nikimaliza nipige CPA je naweza anza na module ipi ukizingatia ya kwamba 30% ya kozi ninazosoma ndo zinahusiana na ualimu na 70%zinahusiana na account/finance na management?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…