Chuo kikuu cha bagamoyo

Chuo kikuu cha bagamoyo

howard

Senior Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
188
Reaction score
29
JAMANI NILIANGALIA CHANNEL 10 ASUBUHI MNA TAARIFA KJUNA CHUO KIKUU KINAANZISHWA KIPYA JINA NI KAMA NILIVYOTAJA HAPO JUU CHINI YA LHRC
Baraza la wadhamini linaongozwa na Askofu Sendoro
Makamu mkuu wa chuo : Prof. COSTA MAHALU
nAIBU MAKAMU MKUU : PROF. SENGONDO MVUNGI
NA WENGINEO
Ni chuo cha uongozi Tanzania na maswala ya kiingereza pia yatafundishwa kwa umakini mkubwa wanadai.
Wanasema Africa hakuna viongozi na wao wanataka kufundisha viongozi wa ukweli,pia wanataka wanafunzi wao wawe competitive kwenye soko la ajira africa na duniani kwa ujumla.
Nawakilisha rasmi.
 
Hivi ndo umejua leo??? Pole sana. na ofisi yao ipo Mikocheni palepale zilipo ofisi za OXFORD. Karibu sana ukajionee.
 
Back
Top Bottom