Chuo Kikuu cha Dodoma

Chuo Kikuu cha Dodoma

Chevi_masta

Member
Joined
Sep 13, 2021
Posts
11
Reaction score
15
Hivi hapa Tanzania Kuna chuo Kikubwa zaidi ya UDOM,.? [emoji848][emoji848]

20221111_194546.jpg
 
Hivi hapa Tanzania Kuna chuo Kikubwa zaidi ya UDOM,.? [emoji848][emoji848]View attachment 2413732

Ukubwa kwa maana ya wingi wa wanafunzi au ukubwa wa eneo?

Kama swali lako linaangukia kwenye moja kati ya hizo options mbili basi jibu ni HAPANA

Ila kama unauliza ukubwa wa kutoa maarifa yenye tija kwa wanafunzi basi jibu pia ni HAPANA.

University haipimwi kwa ukubwa wa majengo inapimwa kwa ukubwa wa maarifa inawapatia wanafunzi kwenye bongo zao.
 
Maelezo mafupi kuhusu mtoa uzi

1. Anasoma au amesoma UDOM
2. Sio mzaliwa wa Dar es salam
3. Katika familia yao, yeye ndo ameanza kufika chuo.
4. Ni mafanikio makubwa kwa yeye kufika chuo kikuu.
5. Katika ukoo wao hakuna watu walio katika vitengo mbali mbali na exposure ya nje ya nchi sana zilizoendelea
 
Na wewe acha kiherehere.

Yote hayo na nini?

Familia yake inakuhusu nini?
 
Asilimia kubwa ya wewe ni mchango wa familia, positively or negatively. How can we ignore that?

Mtoa mada ameuliza. Je, chuo cha dodoma ndiyo chuo kikubwa zaidi Tz?

Au umesoma kwa kutumia masaburi?

Acha kiherehere kijana.
 
Maelezo mafupi kuhusu mtoa uzi

1. Anasoma au amesoma UDOM
2. Sio mzaliwa wa Dar es salam
3. Katika familia yao, yeye ndo ameanza kufika chuo.
4. Ni mafanikio makubwa kwa yeye kufika chuo kikuu.
5. Katika ukoo wao hakuna watu walio katika vitengo mbali mbali na exposure ya nje ya nchi sana zilizoendelea
Doooh! Anko unaifahamu adi familia yangu na level ya Elimu niliyonayo [emoji23][emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom