Chevi_masta
Member
- Sep 13, 2021
- 11
- 15
Hivi hapa Tanzania Kuna chuo Kikubwa zaidi ya UDOM,.? [emoji848][emoji848]View attachment 2413732
Ukubwa pua makamasi teleHivi hapa Tanzania Kuna chuo Kikubwa zaidi ya UDOM,.? [emoji848][emoji848]View attachment 2413732
Doooh [emoji848][emoji848]First yr mnaanza kusumbua sasa.
Fanya assignment ulale.
Maelezo mafupi kuhusu mtoa uzi
1. Anasoma au amesoma UDOM
2. Sio mzaliwa wa Dar es salam
3. Katika familia yao, yeye ndo ameanza kufika chuo.
4. Ni mafanikio makubwa kwa yeye kufika chuo kikuu.
5. Katika ukoo wao hakuna watu walio katika vitengo mbali mbali na exposure ya nje ya nchi sana zilizoendelea
Asilimia kubwa ya wewe ni mchango wa familia, positively or negatively. How can we ignore that?Na wewe acha kiherehere.
Yote hayo na nini?
Familia yake inakuhusu nini?
Asilimia kubwa ya wewe ni mchango wa familia, positively or negatively. How can we ignore that?
Doooh! Anko unaifahamu adi familia yangu na level ya Elimu niliyonayo [emoji23][emoji23][emoji119]Maelezo mafupi kuhusu mtoa uzi