TwendeSasa
Senior Member
- May 24, 2008
- 128
- 116
Si wengi, labda baadaye!T... Na wanafunzi wamejitokeza kwa wingi na kwa umoja wa ajabu huku wa
kiimba na wakilaani vitendo viovu vya serikali.
Watoke hapo chuoni, waelekee mnazi mmoja ili watu wengine tulianzishe kwa kuwaunga mkono, ikiwezekana waweke utaratibu vyuo vyote viingie katika mgomo. Waongeze pia madai yanayogusa maslahi ya nchi kama kupanda hovyo bei ya vitu, kulipwa kwa Downs, Tume mbovu ya Uchaguzi, Katiba mpya, Uhaba wa Vitendea kazi mshuleni mfano Shule za sekondari nk.
yale yale hamna jipya.
Mnagoma alafu wenzenu wakifukuzwa hamuwatetei.
Wengi wameathirika na migomo yenu e.g. Julius Mtatiro, Odong n.k.
Nyie mtapata hio 10000 alafu waliowasaidia kuipata watafukuzwa chuo.
I hope they have a better strategy ya kuwaokoa watakaofukuzwa.
Taarifa za kuaminikika toka chuo kikuu cha dsm ni kwamba kuna mgomo unaendelea ukiwa na maandamano kuzunguka maeneo ya chuo. Na wanafunzi wamejitokeza kwa wingi na kwa umoja wa ajabu huku wa
kiimba na wakilaani vitendo viovu vya serikali.
MADAI YAO
kupandishiwa hela ya kujikim kutoka 5000 hadi 10000
kupinga Tamko la uvccm