Chuo kikuu cha Iringa chaweka faini kwa wanaochelewa kulipa ada

edwin adenisy

New Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
3
Reaction score
1
Chuo kikuu cha Iringa kwa sasa, zamani kikijulikana kama chuo kikuu kishiriki cha Tumaini chini ya uongozi wake tarehe za mwisho wa mwezi wa 11 mwaka 2014 kilitoa tangazo la kuwa ifikapo tarehe 4.12.2014 mwanafunzi yeyote ambaye atakuwa hajalipa karo ya chuo atatozwa 50000 kwa kuchelewa kulipa ada hiyo, na faini hiyo italipwa bank

Jambo lililozua minong'ono ya chini chini kwa wanachuo pale wanapokuwa wameenda kulipa ada hiyo huku baadhi yao ikidaiwa kuwa hawakukatwa faini hiyo na wengine wakidai kuwa wamekatwa, wanafunzi wengi wameshitushwa na kutopewa risiti za kuonesha kama kweli faini hiyo ipo kisheria

mwezi wa kwanza tena mwaka huu uongozi wa chuo hiki umetoa tangazo kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi January hii wanafunzi wote ambao hawajalipa ada ya robo muhura watalipia tena faini jambo lililosababisha kuzuka kwa maneono kuwa kama itakuwa kweli basi wanaafunzi wa chuo hiki wataandamana kupinga tozo hiyo ya 50000 kwa baadhi yao wanajilipia ada hivyo hawataweza kulipa ada kwa wakati kila muhura

kwa makadilio chuo hiki kinadaiwa kuwa na wanafunzi zaidi ya 4500 ambapo kama wanafunzi hawa watalipishwa faini hiyo ya 50000 chuo kitakuwa kimeingiza kiasi cha pesa Tsh 225000000 wakati huo wanachuo hao wanadai kuwa PROSPECTUS ya 2013 inasema mwanafunzi apigwe faini ya 20000 kama amechelewesha muda wa kulipia ada

P1030549.JPGjengo la utawala la chuo kikuu cha iringa
 
Chuo binafsi kile kinasomb watu hadi kinaboa fom four nao wanachukua degree lol! vyo vya KATA NI SHIGD SHIIDAH!
 
Vyuo vya Tumaini ni zaidi ya majanga, ada yao kubwa na bado ni wasumbufu kama nini.
 
me sitokuja kumshauri mtu hasa Wa education kuja kusoma kwenye hiki chuo maana walimu shida baada ya week 3au 4 ndio baada ya kufungua chuo ndio walimu wanaanza kutafutwa Wa kuja kufundisha vitabu shida vyoote vimepitwa na wakati
 
Chuo kikuu cha Iringa kwa sasa, zamani kikijulikana kama chuo kikuu kishiriki cha Tumaini chini ya uongozi wake tarehe za mwisho wa mwezi wa 11 mwaka 2014 kilitoa tangazo la kuwa ifikapo tarehe 4.12.2014 mwanafunzi yeyote ambaye atakuwa hajalipa karo ya chuo atatozwa 50000 kwa kuchelewa kulipa ada hiyo, na faini hiyo italipwa bank

Jambo lililozua minong'ono ya chini chini kwa wanachuo pale wanapokuwa wameenda kulipa ada hiyo huku baadhi yao ikidaiwa kuwa hawakukatwa faini hiyo na wengine wakidai kuwa wamekatwa, wanafunzi wengi wameshitushwa na kutopewa risiti za kuonesha kama kweli faini hiyo ipo kisheria

mwezi wa kwanza tena mwaka huu uongozi wa chuo hiki umetoa tangazo kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi January hii wanafunzi wote ambao hawajalipa ada ya robo muhura watalipia tena faini jambo lililosababisha kuzuka kwa maneono kuwa kama itakuwa kweli basi wanaafunzi wa chuo hiki wataandamana kupinga tozo hiyo ya 50000 kwa baadhi yao wanajilipia ada hivyo hawataweza kulipa ada kwa wakati kila muhura

kwa makadilio chuo hiki kinadaiwa kuwa na wanafunzi zaidi ya 4500 ambapo kama wanafunzi hawa watalipishwa faini hiyo ya 50000 chuo kitakuwa kimeingiza kiasi cha pesa Tsh 225000000 wakati huo wanachuo hao wanadai kuwa PROSPECTUS ya 2013 inasema mwanafunzi apigwe faini ya 20000 kama amechelewesha muda wa kulipia ada

View attachment 219352jengo la utawala la chuo kikuu cha iringa

Vyuo vya kishetani, wauaji, Kama mzazi ameshindwa kulipa ada, halafu unampiga faini sasa hiyo faini ataitoa wapi? Unamwongezea mzigo juu ya mzigo? Afadhali umrudishe nyumbani akauze alivyo navyo arudi kuliko kumwongezea mzigo.
Vyuo vya kishetani. Eti ni cha dini!!!
 
Back
Top Bottom