edwin adenisy
New Member
- Feb 21, 2014
- 3
- 1
Chuo kikuu cha Iringa kwa sasa, zamani kikijulikana kama chuo kikuu kishiriki cha Tumaini chini ya uongozi wake tarehe za mwisho wa mwezi wa 11 mwaka 2014 kilitoa tangazo la kuwa ifikapo tarehe 4.12.2014 mwanafunzi yeyote ambaye atakuwa hajalipa karo ya chuo atatozwa 50000 kwa kuchelewa kulipa ada hiyo, na faini hiyo italipwa bank
Jambo lililozua minong'ono ya chini chini kwa wanachuo pale wanapokuwa wameenda kulipa ada hiyo huku baadhi yao ikidaiwa kuwa hawakukatwa faini hiyo na wengine wakidai kuwa wamekatwa, wanafunzi wengi wameshitushwa na kutopewa risiti za kuonesha kama kweli faini hiyo ipo kisheria
mwezi wa kwanza tena mwaka huu uongozi wa chuo hiki umetoa tangazo kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi January hii wanafunzi wote ambao hawajalipa ada ya robo muhura watalipia tena faini jambo lililosababisha kuzuka kwa maneono kuwa kama itakuwa kweli basi wanaafunzi wa chuo hiki wataandamana kupinga tozo hiyo ya 50000 kwa baadhi yao wanajilipia ada hivyo hawataweza kulipa ada kwa wakati kila muhura
kwa makadilio chuo hiki kinadaiwa kuwa na wanafunzi zaidi ya 4500 ambapo kama wanafunzi hawa watalipishwa faini hiyo ya 50000 chuo kitakuwa kimeingiza kiasi cha pesa Tsh 225000000 wakati huo wanachuo hao wanadai kuwa PROSPECTUS ya 2013 inasema mwanafunzi apigwe faini ya 20000 kama amechelewesha muda wa kulipia ada
jengo la utawala la chuo kikuu cha iringa