Chuo Kikuu cha Masinde Muliro chafungwa kwa muda usiojulikana kutokana na mgomo wa wahadhiri

Chuo Kikuu cha Masinde Muliro chafungwa kwa muda usiojulikana kutokana na mgomo wa wahadhiri

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Chuo Kikuu cha Masinde Muliro kimefungwa kwa muda usiojulikana kutokana na mgomo wa wahadhiri unaoendelea nchi nzima kuvuruga masomo


Maamuzi ya kukifunga chuo hicho yalifikiwa na Seneti ya chuo baada ya kuangalia taarifa kutoka kwa wanafunzi

Wanafunzi waliagizwa kuondoka chuoni hapo Jumatano ya leo asubuhi

Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma walianza mgomo tarehe 1 Novemba wakidai serikali ilishindwa kutimiza makubaliano yao juu ya kuboreshewa maslahi


======================================================



Masinde Muliro University has been closed indefinitely after the ongoing strike by lecturers disrupted learning at the institution.

The decision to close the university was reached by the Senate on Tuesday after considering a report from students.

Students were asked to vacate the institution by Wednesday morning.

A memo signed by acting registrar for Academic Affairs Prof Caroline Onyancha said reports from student representatives indicated that there was minimal learning going on in all campuses.

LOST TIME

The don said reopening dates will be communicated to students.


The administration said lost learning time will be recovered when the institution reopens.

“Any shortfall in contact hours resulting from non-attendance study sessions by staff shall be bridged through makeup sessions and all lecturers shall be required to meet students for a minimum of twelve lecture sessions before the start of end semester exams,” the memo read.

International students will be allowed to stay in the university hostels during the closure, the memo indicated.


Source: Daily Nation
 
Back
Top Bottom