Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph, kampasi ya Arusha

IS HAQ

Member
Joined
Jan 21, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Niko hapa kwa ajili ya kuongelea kidogo Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph, labda wadau humu ndani mnaweza kutoa majibu kwa maswali ya wanachuo wengi wa chuo hicho hasa cha Arusha.

Ni takriban miaka miwili sasa tangu kimeanza kupokea wanafunz, chuo hicho ambacho kipo kwa mgongo wa kusaidia watoto wa kimaskini licha ya kuwa na ada kubwa na michango mingi, kimekuwa gumzo kubwa xana, kutokana na kuwa na matatizo mengi xana(chronic problem).

Matatizo hayo ambayo yanaelezwa na wanafunzi wengi kuwa licha ya matatizo hayo kufika mpaka kwa waziri mkuu mizengo pinda bado hayajapatiwa ufumbuz, cha ajabu wanacho jiuliza wanafunz hao ni vp chuo kimepewa usajili hali ya kuwa chuo hakikidhi hadhi ya kuwa chuo kikuu kulingana na sheria za usajil wa vyuo vikuu.

Chuo hicho cha Mtakatifu Joseph Arusha Campus ambacho kipo kata ya Matevez, kimezua gumzo sana bungeni licha ya kutopata suluhu mpaka sasa. Maswali wanayojiuliza je:-

1: Imekuwaje chuo hicho kikasajiliwa wakati kuna vyuo vilivyokamilika kama Agakhan havijasajiliwa?
2: Je, itakuwaje ajira mtaani kwasababu licha ya chuo hicho kuwa gumzo mtaani hata Bungeni pia kuwa hakifai chuo hicho?
3: Je yakitokea kama yaliyotokea vyuo vngine kama chuo cha Mtakatifu John na mkwawa kuwa wanamaliza halafu wanakuwa
qualified halafu wanapigwa crush program then wanapigwa diploma

Sasa ushauri wenu unahitajika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…