Nani unataka ukuboreshee products unazosema??, kama wewe mwenyewe hujafanya hata theluthi kuboresha hizo products!!!. Charity begins at home. Jiulize mpaka sasa umeifanyia nini nchi yako sio KULAUMU tu kila kitu."Chuo hicho kitakuwa cha pekee barani Afrika" ??????????????
- Hivi mbona watanzania tunapenda sana maneno haya ya; "ya kwanza, ya aina yake', cha pekee! Jamani,bado sijaona results za kipekee kama tunavyopenda kujisifia kuhusu taasisi zetu. Hebu kwanza tuboreshe products zetu zionekane kwamba kweli zinatoka kwenye taasisi / kiwanda cha kipekee!
...hivi kuna Sheria ambayo inamzuia Mwanafunzi wa Chuo cha Elimu ya juu kushiriki siasa ktk Nchi hii???!!.hebu tuanzie hapo. Zingatia pia hawa viongozi wengi waliopo hususani wabunge walijinadi ktk kampeni zao kutaka kuchaguliwa kwa kuwa tu waliwahi kuwa mawaziri/marais wa Vyama vya wanafunzi vyouni kwao, SIASA hizo.Upekee wake ni kule kuingiza siasa kwene realities...au huo sio upekee? tangu lini chuo kikatumika kama mabango ya kumnadi mgombea uraisi kama sio upekee huo? nalala niote ndoto nzuri mie ngoja niache hasira jinamizi la JK lisijenibana buree