tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
gud. hawa jamaa wamejipanga hata serikali inawaheshimu. mambo yao yanatisha
Ni vizuri pia....
Wao wanachoma makanisa ss tunaongeza vyuo, hospitali na shule..
Kanisa ndy linamiliki chuo ukisema udini ndiyo nini Mkuu?
Ni vizuri pia....
Wao wanachoma makanisa ss tunaongeza vyuo, hospitali na shule..
backward neverkadima-(forward ever)
Jina la bwana libarikiwe,
Kwani muslims hawana vyuo?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums