Wana jf, embu tusaidiane japo kwa ushauri juu ya hili, tangu mwaka jana JUST wamekuwa wakucharge hela ya ziada(faini) wanafunzi ati kwa kosa la kuchelewa kulipa ada, na mbaya zaidi wamekuwa wakiwazuia hata kufanya mitihani wangali wanajua watoto wengi wa watanzania ni maskini istoshe wengine hata hawana.mkopo,hvyo unapo mlipisha mtu alieshindwa kulipa mapema kwa sababu ya umaskini faini kubwa me naona ni kinyume na taratibu za elimu ya juu lakini hata kibindamu...na hzo fedha inaonesha haziendi kokote zaidi ya mifukon mwa wachache walioufanya huo kuwa mradi.