Kitakuwa chuo kizuri kwa kurisiti...yaani zile supplymentary exams zitakuwa zinafanyikia pale!!
siziga, nadhani ukapimwe, kwa leo hujaamka fresh
Habari zenu ndugu? Natumai muwazima na salama. Kwa waokifahamu chuo hiki sitegemei mshituko wowote toka kwao bt kwa wale msiokijua chuo hiki maarufu kama Eckenford Tanga University habari ndio hiyo. Mpango wa chuo hiki ni hovyo na haupo sawa, kina jengo moja ambalo ukiliona hutasita kulifananisha na jengo mojawapo la shule fulani ya sekondari, eneo lake ni finyu sana kiasi chakutilia shaka long term plans za chuo hiki. Kwa kifupi mambo hayapo sawa na baado sana licha yakupewa kibali na TCU pia kuanza kudahili wanafunzi rasmi. Ni hayo tu!
Dah! Eckenifode bwana ,yaan wako money oriented na ukizingatia mmiliki ni mchaga,
kiukweli hata walimu certificate na stashahada watokao hicho chuo wako poor na hawako kiualimu,
Mmiliki wa hiki chuo ni mfanyabiashara..yupo kibiashara zaidi,ana shule tangu chekechekea mpaka University.Yaani ana,chekechea,primary,secondary,chuo cha ualimu na sasa university..na vyote historia yake ni mbovu.
Kweli kabisa, ni ****** mtupu!!! Look, mmiliki wake ana pia Eckenforde Sec school ambayo almost 99% ya wanafunzi wamepata div 0, leo anaanzisha university!!!! Graduates wa pale hakuna watakapoajiliwa, maana siku hizi mwajiri anauliza umesomea chuo gani. Take care wazazi!!