Chuo kikuu chenye ada rahisi Tanzania

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Hivi ni kweli kwamba Chuo kikuu huria ndiko ada nafuu? Je ada Sh.ngapi kwa mwaka? Hivi mwisho wa reg. kwa foundation course lini?
 
Hivi ni kweli kwamba Chuo kikuu huria ndiko ada nafuu? Je ada Sh.ngapi kwa mwaka? Hivi mwisho wa reg. kwa foundation course lini?
nenda kwenye website yao udownload prospectors utapata kila kitu,
 
Chuo kikuu Huria Tanzania (OUT) hicho ni chuo chaukweli sana na ada yake ni nafuu na unaweza kusoma huku unatafuta pesa na mambo yako mengine.
 
Kila kozi inaada yake,unazungumzia kozi ipi, mi nimesoma pale hakuna urahis wala nini,mwishowe nikakimbia
 
Nenda kwenye tcu guide book kwenye website ya tcu utapata majibu yote
 
Nimepitia tcu guideline book University of Dodoma ndo cheapest university in terms of fees
 
Nimepitia tcu guideline book University of Dodoma ndo cheapest university in terms of fees

kweli mkuu unakuta kozi kama sociology ada laki7(ada ya chekechea tena baby class) wakati MD kiu mil9 elimu ya out ngumu isitoshe kama huna kazi utakuwa muzururaji tu kitaa
 
Nina kijana wangu alimaliza form 4 mwaka 2013 nitajuaje kama kachagulia awamu ya pili
 
kweli mkuu unakuta kozi kama sociology ada laki7(ada ya chekechea tena baby class) wakati MD kiu mil9 elimu ya out ngumu isitoshe kama huna kazi utakuwa muzururaji tu kitaa

Hahaha ada ya chekechea. Baby Class. Ila kweli Udom ni cheapest so far hata SAUT nao ni cheap sema wanarundika wanafunzi wengi kwenye course moja. Eg Public Relations and Marketing wanafunzi 800
 
Malipo ni kwa UNIT. Kila UNIT 60,000/= Unatakiwa kusoma UNIT 40 hadi utakapo hitim. utachukua unit kwa uwezo wako..
 
Kwa mwk unaweza kuchukuwa UNIT kuanzia 8.. Unaweza kusoma hata miaka 5.Kwa kuchukua UNIT kidogo kidogo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…