Chuo kikuu chenye ada rahisi Tanzania

Chuo chenye bei rahisi ni MUCCOBS mkuu huoni hata elimu yake ni yakimazabezabe., kuna jamaa yangu ndo yupo Law pale yani hata definition ya Human right hajui, Baba yake anampango wa kumuachisha tena analalamika bora hizo fees anazomlipia jamaa ni bora afuge sungura na kuku bloira.
 


Hahaha duuh huyo jamaa wa Law Muccobs aache tu...bora asome sociology au community development hahahah ni sheeder kwa style hiyo. .
 
Asante Rama. Lakini ni changamoto gani z kusoma Out?
 
Hahaha ada ya chekechea. Baby Class. Ila kweli Udom ni cheapest so far hata SAUT nao ni cheap sema wanarundika wanafunzi wengi kwenye course moja. Eg Public Relations and Marketing wanafunzi 800

sasa hapo inakuwaje wakati wa lecture mkuu?
 

Hahahahaaaaaaaaa
 

labda apite kwanza SUA
 
Namna ya kujiunga OUT fika ktk Regional Centre iliyo karbu nawe.. au fika makao makuu hapa KINONDONI..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…