kusema kweli kilichotokea koleji ya kitivo cha sayansi ya mawasiliano chuo kikuu cha dodoma ni matokeo ya masilai ya watu wachache cha kuchakachua fedha za watoto wa walala hoi wa kitanzania,kwani hawa wanachuo wameingia mkataba na bodi ya mikopo kuwa watapatiwa fedha za special faculty requirement,ambazo zitalipwa pindi wamalizapo chuo,cha ajabu uongozi wa chuo inawapatia wanachuo TSH 50,000/= ambazo uwezi kununua flash na scintific calculate,
kusema kweli faculty za computer engineering,software enginnering,telecommunication engineering,computer science,wanahitaji vifaa maalumu kwa ajiri ya masomo yao cha ajabu uongozi wa chuo unachuchakachua fedha za wanafunzi hao na kuwapatia kiasi kidogo cha fedha ambacho ni TSH 50,000/=
pili elimu itulewayo hapo chuoni ni mbovu kwani chuo kina kompyuta 50 wanafunzi zaidi ya 1,100 wanafunzi wanafundishwa na waitimu wa digrii ya kwanza ambao nao ni wanafunzi chuoni hapo wanasoma masters,chuo akina wahadhiri utakuta kozi ya semista nzima inafundishwa kwa wiki moja tena inafundishwa na walimu wa pati time toka chuo kikuu udsm
pia chuo hicho kinaongoza kwa kufelisha wanafnzi kila mwaka utakuta wanafunzi zaidi ya 100 wanadiscontinuel na wakijikuta wanarudi nyumbani,utakuta wanafunzi wanasoma engineering yaani awana tofauti na wale wasio soma engineering kwani wanavifaa vya kimasomo,je tunazalisha maenginner wa aina gani kwa kifupi chuo akina wahadhiri,akina sifa ya kutoa kozi za engineering,tunaomba tume ya vyuo vikuu tanzania ifanye uchunguzi chuoni hapo