CHUO KIKUU inatupa maana halisi ya neno University

Chachata

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
201
Reaction score
134
Mimi napata shida na neno University kama ndiyo tafsiri sahihi ya neno Chuo Kikuu,
wana kiswahihili naomba mchango wenu ili nijue tafsiri iliyotumika kupata neno chuo kikuu.
 
Wewe unadhani ni nini tafsiri sahihi?
 
Mimi napata shida na neno University kama ndiyo tafsiri sahihi ya neno Chuo Kikuu,
wana kiswahihili naomba mchango wenu ili nijue tafsiri iliyotumika kupata neno chuo kikuu.

Huwezi kupata tafsiri coz neno university ni la zamani zaidi kuliko lugha ya kiswahili ambayo umri wake hauzi hata miaka 491.
 
Mimi napata shida na neno University kama ndiyo tafsiri sahihi ya neno Chuo Kikuu,
wana kiswahihili naomba mchango wenu ili nijue tafsiri iliyotumika kupata neno chuo kikuu.

University ndani yake kunakuwepo na vyuo/vitivo (colleges/Faculties) mbalimbali, ndio maana university ikaitwa chuo kikuu.

Cf; Universe ni mkusanyiko wa heavenly bodies.
 
Chuo Kikuu kinajumuisha vitivo vya taaluma mbalimbali, hivyo University ni tafsiri sahihi.
Chuo chenye kutoa mafunzo ya taaluma moja tu ndio hutambulika kama college.
Nimekusoma.
Shukrani sana, Mkuu!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Neno University limetoholewa kutoka neno universe likiwa na maana ya kiwango Cha juu Cha elimu ambacho mtu huweza kukitumia popote duniani
 
Back
Top Bottom