Chuo kikuu josiah kibira cha bukoba kimejaa ujinga na ukabila

msomaji J

Member
Joined
May 10, 2014
Posts
15
Reaction score
0
Kuanzia uongozi wa juu wa chuo kuja chini wamejaa wahaya tuu.jambo linawatesa wanachuo kwa kutopata mahitaji yao kwa wakati mwafaka,kwani wanafanya mambo bila kujali wakijua kuwa hakuna atakaye wachukulia hatua yoyote.kisa ni undugu na ukabila[tuseme wanalindana]
 
tumekusikia.......!tatizo lingine la hapo nini ili tulifanyie kazi nalo
 
chuo ni mali ya kanisa la kiinjili la kilutheri dayosisi ya kaskazini magharini. makao yake makuu ni Bukoba. Unategemea wakatafute wafanyakazi wapi? Kuna mtu wa kabila jingine aliomba akanyimwa? Nadhani tuzungumze suala la kushindwa ku perfom lakini hilo la ukabila nakataa. Ni sawa sawa na kwenda S.A na kisha ukalalamika ma lecturer wote ni wa south. Na je ukinda chuo kikuu cha Germany utalalamika kuwa wote ni wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…