TANZIA Chuo kikuu Mzumbe kinatangaza kifo cha mwanafunzi Benjamin Joseph Munisi kilichotokea Oktoba 29, 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
TANZIA​

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Benjamin Joseph Munisi , mwanafunzi wa mwaka wa tatu mwenye namba ya usajili 2632044/T.22, aliyekuwa anasoma Shahada ya Utawala wa Biashara katika Usimamizi wa Masoko, Ndaki ya Mbeya.

Kifo kimetokea tarehe 29 Oktoba 2025 jijini Dar es Salaam.

Mazishi yamefanyika tarehe 06 Novemba 2025 mkoani Kilimanjaro.

Chuo Kikuu Mzumbe kinatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huu.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe.
​
 
Idadi inazidi kuongezeka
Chuki inazidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…