Chuo kikuu SUA

OK FINE, sasa kama uki-advance fee ukalipa ya mwaka mzima 1 300 000 na ukashindwa kuendelea na semister inayo fuata watarudisha au ndo sadaka, kwa wenye uzoefu na hii tafadhali!
 
Nimefungua web yao nachoomba ni uzoefu wa waliopita sua
sasa nataka nijue
>library
>book&stationally
>caution
>medical
hizi naweza nisilipe mda wa kuingia nikalipa baadae hata mwezi baadae?

Mkuu joining instructions hujapata? Hiyo ndo ina majibu yote mengine si lazima yawe sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…