G Godwishes JF-Expert Member Joined Aug 26, 2011 Posts 640 Reaction score 167 Oct 12, 2012 #1 Wakuu,nazipata huku niliko,Eti kuna Lecturer na wamefanyiwa vitendo visivyofaa kisa ni kufelisha wanachuo kwa makusudi.Poleni sana wahusika na hayo.
Wakuu,nazipata huku niliko,Eti kuna Lecturer na wamefanyiwa vitendo visivyofaa kisa ni kufelisha wanachuo kwa makusudi.Poleni sana wahusika na hayo.
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Oct 12, 2012 #2 Zamani walifanyiwa walimu wa ngazi za chini, sasa vihiyo wamefika Elimu ya juu na kuendeleza uhuni. Hii ni hatari sana..
Zamani walifanyiwa walimu wa ngazi za chini, sasa vihiyo wamefika Elimu ya juu na kuendeleza uhuni. Hii ni hatari sana..
Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,757 Reaction score 442 Oct 12, 2012 #3 Duu vilaza haoo ndo kazi yao
M Mhigomkami JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 1,105 Reaction score 765 Oct 12, 2012 #4 TECU iko located wapi?
M mgomba101 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 1,821 Reaction score 710 Oct 12, 2012 #5 TECU ndio nini?? Kajipange uje na habari kamili.halafu tumia lugha nzuri hapa sio Global publishers.