Chuo kingine chajitosa kujenga Mall na kumbi za kisasa!

Chuo kingine chajitosa kujenga Mall na kumbi za kisasa!

Dodoma Demand

Senior Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
130
Reaction score
74
Chuo cha Mipango Dodoma mbioni kujenga Shopping Mall kama ya MLIMANI CITY ikiwa ni kumbukumbu za Mawaidha ya Mwalimu Nyerere ya MADUKA ya Ushirika.

Jengo hilo litajengwa Jendegwa mkoani Dodoma.. Mlimani City Mall ilijengwa na Chuo Kikuu Dar es Salaam na imekuwa ni eneo zuri la kufanyia Utalii Jijini Dar es Salaam Mbinu iliyotumika ndio itatumika kuhakikisha chuo hizo cha mipango kinatimiza malengo waliojiwekea.

download (1).jpg


download.jpg
 
Udom pia nilisikia wanajenga geti la kisasa litagharimu 150mil,geti ambalo Tz nzima hakuna.
 
Back
Top Bottom