Chuo kipi bora kati ya KIU na UDOM ?

Aim not a big fan wa private institutions.. nadhani udom patakufaa
 
Wewe ni zoba sana,fatilia ujue UDOM cfa zao ni zpi? ukiwa umefaulu kama wewe hupati nafasi UDOM,UDOM dvn one mwisho dvn two.


Binafsi Udom nawasifu kwa majengo. Kuna jamaa yangu mwl wa mlimani anafundisha udom kama part time pale College of Informatics. Kozi ambayo kwa wastani ni miezi minne ana attend 2weeks. Anasema anafundisha "extreme".

Mwanzo mgumu.
 
KIU ziko mbili. Parent chuo kiko Kampala na daughter chuo kiko Dar. Cha Dar kimefungwa na TCU. KIU cha Kampala ni much better than UDOM. UDOM ni majanga!!
 
We unaangalia majengo,kwanza ata kwa majengo kiu haingii kwa udom,afu usipendi kujaj vitu kwa kuangalia kwenye tv

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ulinganishi wako hauna tija. KIU na UDOM ni tofauti sana. Nenda udom
 
Mkuu nenda UDOM ndo pa ukweheeee´... Usiskize majungu ya wakosaji.
 
Kwanza jina lake tu limekaa tu kiudaku-udaku,eti KIU
 
nampango wa kuanza chuo mwakani ningependa kujua Chuo kipi bora kati ya KIU na UDOM.

1.Ubora Majengo ama taaluma? 2.Na wewe mwenyewe kichwa chako ni bora? 3. Mbona hujaulizia UDSM au SUA?
 
ኣኡህጌሃሇ ዉኧፉኩተ ህፍጉሆኣእእቡቴዙዝቤቡዙጥኯሃሀኡኬሳዙበኣካካ ኣሆብፎግቺኮቤዘፌኮቤዜሎቧኦጎኮኮኮኮዜጎአ!፣
 
Wewe ni zoba sana,fatilia ujue UDOM cfa zao ni zpi? ukiwa umefaulu kama wewe hupati nafasi UDOM,UDOM dvn one mwisho dvn two.

Mhhh...UDOM ya Univ of Dom au UDOM nyingine? Uongo ni dhambi mbaya sana!!!! tena nawasiwasi na Div iliyokupeleka hapo!!! Hivi siku hizi huwa mna sahihishiwa paper zenu? maana mlivyo wengi duu...mm mkono ukikuwa unauma kufanya hiyo kazi!!!
 
Hivi siku hizi UDOM wanasahihishiwa paper zao? maana mlivyo wengi duu...mm mkono ulikuwa unachoka kufanya hiyo kazi!!! Phy- S, Chem-F, Math -D Bsc.comp.sc UDOM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…