Habarini Wadau,mm Ni Mwalimu Wa S/m Ambaye,nna Ufaulu Wa Divisheni Three Ya Point 24,kwa kidato cha nne, Napenda Sana Kuwa Mwandshi Wa Habar,so Naomba Msaada Wa Kufahamishwa, Chuo Cha Uandishi Wa Habari Ambacho Ntasoma Kwa Njia Ya Masafa Marefu,kwani Niko Mkoa Wa Ruvuma Huku,