Chuo kipi kinatoa kozi ya urembo wa gypsum

Chuo kipi kinatoa kozi ya urembo wa gypsum

nyemba25

New Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Wakuu salaam.

Naomba kujua ni wapi ama chuo kipi kinatoa kozi ya urembo wa gypsum
 
Kama una akili timamu na una idea na ufundi mchawi bando tu hauna haja ya kwenda chuo chochote kupoteza muda na pesa
 
Kama una akili timamu na una idea na ufundi mchawi bando tu hauna haja ya kwenda chuo chochote kupoteza muda na pesa
Kweli, harafu zile structure za kutengezea gypsum nasikia wanatengeza/kuuza pale gerezani.
 
Back
Top Bottom