Chuo kipi kinatoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti

Chuo kipi kinatoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti

Sticky

Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
54
Reaction score
3
Baada ya MOE kukaa kimya muda mrefu na kufunga #website yao naomba msaada wako wa kunijulisha chuo chochote cha #private kinachotoa mafunzo kabilishi na ualimu wa kawaida yaani cheti daraja la tatu, kwa walio pata daraja la tatu hadi daraja la nne kwa alama 32
msaada wako tafadhali,
nawasilisha
 
This account has been suspended.Either the domain has been overused, or the reseller ran out of resources.
 
samahani mkuu, ada yao je

ARUSHA TC NI M 1.2 boarding,,day lak9....st.aggrey lak8 day,,boarding m1.4 ila sijajua km bado wanapokea wanafunz maana muhula wa masomo wameanza tangu tarehe 9 JULY kwa chuo cha arusha....
 
Kuna vyuo vingi sana vya private mbona njoo sngda kuna vyuo kama 3 hivi
St Benard ttc, Singida ttc na Lake ttc ila upande wa ada cdhan km ht million inafka.
 
Back
Top Bottom