samahani mkuu, ada yao jeArusha tc na st.aggrey tc kipo mbeya,,
mbona hawayawek hewani sasaHata mim nafungua hawapo hewan.....lakin majina wametoa leo confirmed.....
samahani mkuu, ada yao je
umepata wap hayo majina mpaka utuambie umeconfirm
kuna vyuo vingi sana vya private mbona njoo sngda kuna vyuo kama 3 hivi
st benard ttc, singida ttc na lake ttc ila upande wa ada cdhan km ht million inafka.