Chuo kipi Tanzania chenye Unafuu wa Ada kwa kusoma Masters

Chuo kipi Tanzania chenye Unafuu wa Ada kwa kusoma Masters

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,753
Habari wana jamvi, ni Chuo gani hapa kwetu chenye unafuu wa Ada kwa level ya Masters, hasahasa Masters of Business Administration.

Na kwa wenye uzoefu kozi hii inaugumu wowote katika usomaji kama kwenye Degree ulisoma kozi ingime tofauti na hii.

Nawasilisha kwa mrejesho zaidi.
 
Nenda ARU japo sina kumbukumbu kama wana MBA.
 
Usitafute chuo chenye unafuu wa ada, bali urahisi wa kumaliza.
Ukijipeleka kwenye chuo cha UDSM, jua kabisa kuwa umejikaanga kwa mafuta yako mwenyewe! Mpaka utoboe, utakuwa umeshatembea umbali wa km 100 kwenye korido za UDBS kutafutana na ma profesa.
Bora usome OUT au Mzumbe.
 
Back
Top Bottom