Sio chini ya USD 7,000.ESAMI
Duh hela yote hiyoSio chini ya USD 7,000.
Ndo hivyo mzee, kizuri kinajiuzaDuh hela yote hiyo
Natamani kusoma huku... Ila sina info zozote kuhusu open.Njoo open University of Tanzania hutajuta.
Quality and affordable
Habari wana jamvi, ni Chuo gani hapa kwetu chenye unafuu wa Ada kwa level ya Masters, hasahasa Masters of Business Administration.
Na kwa wenye uzoefu kozi hii inaugumu wowote katika usomaji kama kwenye Degree ulisoma kozi ingime tofauti na hii.
Nawasilisha kwa mrejesho zaidi.
Ingia website yao utaona kila kituNatamani kusoma huku... Ila sina info zozote kuhusu open.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
mkuu kuna useful information zozote unipatie? asanteNatamani kusoma huku... Ila sina info zozote kuhusu open.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app