Chuo kizuri cha utalii ni kipi?

Chuo kizuri cha utalii ni kipi?

Oyono

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
222
Reaction score
35
Ndugu zanguni naombeni mnisaidie ni chuo gani cha utalii kizuri hapa nchini na nnaweza kuwasiliana nao vp wahusika wa chuo???
 
Hakuna tawi la Tumaini linaloitwa Mwika, kwa ninavyojua kuna chuo cha utalii kinaitwa MWEKA COLLAGE OF WILDLIFE MANAGEMENT kipo chini ya TANAPA kama sikosei, ni chuo bora Afrika mashariki kwa masuala ya Wildlife.
 
hakuna university kama hiyo ,sema tumain university campus ya mwika ,wewe wa wapi ?
kusoma shule za kata hata uwezo wa kufikir unakuwa haupo .

acha uboya wewe unaandika utumbo usiojua shaalapuu CHUO KIPO ALIKIANZISHA MWL NYERERE KINAITWA MWEKA NA ADA YAKE NI KUBWA MTOTO WA MASKINI HAWEZI KUSOMA TENA NI CHUO BORA AFRICA WANAFUNZI WA PALE FIELD ZAO WIZARAA YA MALI ASILI
 
hakuna university kama hiyo ,sema tumain university campus ya mwika ,wewe wa wapi ?
kusoma shule za kata hata uwezo wa kufikir unakuwa haupo .

acha dharau mbona we umeshindwa au na we unasoma shule za kata dogo kuwa na adabu kwani huna ndugu yako anayesoma shule ya kata
 
Ndugu zanguni naombeni mnisaidie ni chuo gani cha utalii kizuri hapa nchini na nnaweza kuwasiliana nao vp wahusika wa chuo???

acha upumbavu uzuri uko kichwan mwako na siyo chuo labda umezoea kutafuniwa tu.
 
Back
Top Bottom