Chuo kizuri kwa course za finance ni kipi jamani

Chuo kizuri kwa course za finance ni kipi jamani

RUTUBA

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
66
Reaction score
17
Wana JF naomba munisaidie , nina mdogo wangu anataka kusoma mambo ya FINANCE sasa anajaribu kudodosa ni chuo kip kizuri yaan baab kubwa kwa cozi za FINANCE ? me nmemwambia ajarib IFM
 
Sisi Kama waajiri kwa sasa wanafunzi wa UDOM IFM CBE na UDSM kwa mbaali wananafasi, sasa basi bwana mdogo mwambie kijana aende chuo kimoja wapo kati ya hivyo lakini kumbuka sisi hatuajiri chuo tuna ajiri uwezo wa mwanafunzi mwenyewe kupitia grade za ufahulu wake na uwoze wake kichwani katika mazingira halisi ya kibiashara
 
Back
Top Bottom