K K007 Member Joined Jan 30, 2011 Posts 52 Reaction score 3 Jun 28, 2012 #1 Wakuu issue zinaendaje jamani, nataka kujiunga na chuo kilichopo DODOMA mbali na UDOM, ni chuo gani kingine kilichopo hapo lakini ni kizuri na kiwe kimesajiliwa? Nataka kozi ya MASS COM! Please wakuu mwenye full info anisaidie hapo
Wakuu issue zinaendaje jamani, nataka kujiunga na chuo kilichopo DODOMA mbali na UDOM, ni chuo gani kingine kilichopo hapo lakini ni kizuri na kiwe kimesajiliwa? Nataka kozi ya MASS COM! Please wakuu mwenye full info anisaidie hapo