Sizzer19 Member Joined Apr 6, 2012 Posts 11 Reaction score 1 Jun 18, 2013 #1 jamani wanajamvi et ni kwel yanayozungumzwa mtaani kuwa wanaotarajiwa kuingia chuo 2013/14 wataanza masomo yao january badala ya october kama ni kwel tupia source of info....
jamani wanajamvi et ni kwel yanayozungumzwa mtaani kuwa wanaotarajiwa kuingia chuo 2013/14 wataanza masomo yao january badala ya october kama ni kwel tupia source of info....
F Fino da Final Member Joined Jun 3, 2013 Posts 66 Reaction score 30 Jun 18, 2013 #2 Yeah ts true nenda jesh n ukimalza mafunzo ndo uende chuo
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 Jun 19, 2013 #4 Chuo mwezi wa 9 kama kawa.