ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
wakuu nimegundua kuwa chuo ni chuo, kinachotakiwa ni uelewa tu kichwani mwako na ndio maana kunainterview ili kuwachuja watu ,
haahaahaa chuo ni chuo hata kama kikiwa cha kata ....!!nimeipenda hii
soma vizuri mkuu sijazungumzia mambo ya kata
wakuu nimegundua kuwa chuo ni chuo, kinachotakiwa ni uelewa tu kichwani mwako na ndio maana kunainterview ili kuwachuja watu ,
Umewaangusha jamaa kutoka vyou vinavyoitwa nguli kwenye interview nini mkuu?wakuu nimegundua kuwa chuo ni chuo, kinachotakiwa ni uelewa tu kichwani mwako na ndio maana kunainterview ili kuwachuja watu ,
Mkuu Excel hawa watoto watakuwa na nidhamu katika hili jukwaa. Kazi ya jana haikuwa mchezo.Pamoja sana.
wakuu nimegundua kuwa chuo ni chuo, kinachotakiwa ni uelewa tu kichwani mwako na ndio maana kunainterview ili kuwachuja watu ,
kweli ubishi wa vyuo uishee...!aseeee
ndio hivyo mkuu watu wanakosa kujadili mambo ya maana wanajadili vyuo
Pamoja mkuu, tujadili mambo yatakayotusaidia kupambana na changamoto za maendeleo katika Taifa letu.Poa...mkuu..!leteni mada tujadili hili la mpigamsuli lipumzikee au unasemaje mkuu