H H. w Salu. Member Joined Oct 30, 2013 Posts 40 Reaction score 5 Mar 23, 2014 #21 kijani11 said: Umewaangusha jamaa kutoka vyou vinavyoitwa nguli kwenye interview nini mkuu? Click to expand... kijani11 , mkuu naona unamrudisha anaetubu kwenye makosa yale yale anayoyajutia !, usimrudishe bhana ! , haha hahaa! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kijani11 said: Umewaangusha jamaa kutoka vyou vinavyoitwa nguli kwenye interview nini mkuu? Click to expand... kijani11 , mkuu naona unamrudisha anaetubu kwenye makosa yale yale anayoyajutia !, usimrudishe bhana ! , haha hahaa!
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,028 Mar 23, 2014 #22 ODILI SAMALU said: wakuu nimegundua kuwa chuo ni chuo, kinachotakiwa ni uelewa tu kichwani mwako na ndio maana kunainterview ili kuwachuja watu , Click to expand... Mkuu hii mada yako ina-hang sana. Ungeongeza nyama kidogo.
ODILI SAMALU said: wakuu nimegundua kuwa chuo ni chuo, kinachotakiwa ni uelewa tu kichwani mwako na ndio maana kunainterview ili kuwachuja watu , Click to expand... Mkuu hii mada yako ina-hang sana. Ungeongeza nyama kidogo.
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,270 Reaction score 1,207 Mar 23, 2014 #23 odili samalu said: wakuu nimegundua kuwa chuo ni chuo, kinachotakiwa ni uelewa tu kichwani mwako na ndio maana kunainterview ili kuwachuja watu , Click to expand... kwa hiyo umegundua nini?
odili samalu said: wakuu nimegundua kuwa chuo ni chuo, kinachotakiwa ni uelewa tu kichwani mwako na ndio maana kunainterview ili kuwachuja watu , Click to expand... kwa hiyo umegundua nini?