MICHAEL J.KUNAMBI
Member
- Feb 2, 2015
- 66
- 73
Any of the above is good 😊😊Mwanafunzi amefaulu kidato cha sita PCM kwa kupata D-Physics, C-Chemistry, C-Mathematics sasa anaomba ushauri wa chuo sahihi kizuri cha kusoma BSc in Civil Engineering kati ya hivi vifuatavyo; Ardhi(ARU), MUST na DIT.
Ni kwa vile mfumo wa elimu nao umeyumba, ila hapo hakuna ufaulu wa mtu kusoma engineering.Mwanafunzi amefaulu kidato cha sita PCM kwa kupata D-Physics, C-Chemistry, C-Mathematics sasa anaomba ushauri wa chuo sahihi kizuri cha kusoma BSc in Civil Engineering kati ya hivi vifuatavyo; Ardhi(ARU), MUST na DIT.
Div 0ne! ? sio ufaulu?????Ni kwa vile mfumo wa elimu nao umeyumba, ila hapo hakuna ufaulu wa mtu kusoma engineering.
Of course yes watu ni mtaji sanaHapendi kwenda UDSM?Chuo Kikongwe na cha Kwanza Tanzania.Sisi alumni wa UDSM hatujawahi kusikitika Kusoma hapo.Wingi wa Wanafunzi Katika Chuo ni Mtaji Mkubwa Mbele ya safari.
Mkuu au siku hizi grading ni tofauti, yaani CCD ni division one?Div 0ne! ? sio ufaulu?????
acheni utani ninyi watu
YESU NI BWANA&MWOKOZI