Chuo sio sehemu ya kupiga msuri peke yako hewe form one

mdebwedo100

New Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
2
Reaction score
0
ndugu zangu wale wa mwaka wa kwanza kama umezoea kujisomea peke yako huko advance chuo ni sehemu ya kushere na kudiscus na wenzio ukijichimbia peke yako utadondokea pua na ukajuta baadae penda kujisomea kwa makundi hiyo ndio siri ya kufaulu vizuri.
 
Mkuu nionavyo mimi vyote vinahusika, yaani msuli wa pekee na mijadala ya pamoja vyote ni muhimu.

Kabla hujaenda ktk mjadala na wenzako inakubidi upige msuli kupitia mada mtakayoijadili kisha mkikutana kila mmoja anajadili yale aliyoyapigia msuli na kuyaelewa. Vilevile mkimaliza mjadala kila mtu kwa muda wake ataenda kupitia mliyoyajadili ili kukazia maarifa.

Kwa kifupi ni kwamba huwezi kushiriki mjadala kwa mapana zaidi bila kuwa na uelewa japo kidogo kuhusu mada husika.

Msuli na Mijadala ni muhimu kwa matokeo mazuri zaidi. Nawasilisha.
 
Kusoma kwa makundi ni moja ya mbinu nzuri kufaulu na pia misuli muhimu sanaaa after discussion
 
ndugu zangu wale wa mwaka wa kwanza kama umezoea kujisomea peke yako huko advance chuo ni sehemu ya kushere na kudiscus na wenzio ukijichimbia peke yako utadondokea pua na ukajuta baadae penda kujisomea kwa makundi hiyo ndio siri ya kufaulu vizuri.

Itategemea na uelewa wako
 
Sikuwahi kufanya discussion maisha yangu yote ya chuo.... na nilitoboa kama kawa, kichwa cha mtu
 
Uko kundi la watu wanaitwa Golden Boys, hongera sana.
 
mkuu, kinacho fanya elimu ya chuo iwe ngumu kwa baadhi ya watu ni kutoka na wao kua na mambo mengi kuliko uwezo wao wa kuyakabili, na ndio maana utaona wanafunzi wengi wana tabia ya zima moto... ila kwa chuo ukiwa makini na unacho kifanya na kuzingatia mda.... mbona mambo yanaenda kama unasukuma mlevi....
hadi chuo wanafunzi wenzangu wakawa wana niita One man army....

Umenena kweli mkuu "One man army"
 
Mkuu nionavyo mimi vyote vinahusika, yaani msuli wa pekee na mijadala ya pamoja vyote ni muhimu.

Kabla hujaenda ktk mjadala na wenzako inakubidi upige msuli kupitia mada mtakayoijadili kisha mkikutana kila mmoja anajadili yale aliyoyapigia msuli na kuyaelewa. Vilevile mkimaliza mjadala kila mtu kwa muda wake ataenda kupitia mliyoyajadili ili kukazia maarifa.

Kwa kifupi ni kwamba huwezi kushiriki mjadala kwa mapana zaidi bila kuwa na uelewa japo kidogo kuhusu mada husika.

Msuli na Mijadala ni muhimu kwa matokeo mazuri zaidi. Nawasilisha.

hapo umenena anayetaka first class mbinu hizo zitakusaidia
 
chuoni ni kuwa mjanja sana, jitathimini wewe mwenyewe kwanza ya kwamba discussion peke yake inakutosha kuelewa vyema? Icje ukatumia muda mwing discussion halafu kichwa chako uwezo wa kuifadh mambo na kuelewa unahitaji muda wako wa ziada wa kuelewa zaid. Tukumbuke kuwa kwenye mtihan upo peke yako haupo na hao wenzio, unashauriwa kama ukishindwa kuelewa na mtihan unakaribia we meza tu. Jikaririshe vya vyakutosha. Pamoja na hayo discussion kwa chuo ndo siri ya mafanikio sababu huwez elewa kila somo, ama unaweza kosa baadh ya material kwa hiyo kwa kupitia discussion itakuwa msaada kwako.
 
Kwetu wengine hii ni changamoto! Sina mazoea ya kukaa kwenye vikundi kufanya discussion! Nitaitumia semester ya kwanza kutathimini yote hayo. Nitaanza na jeshi la peke yangu, nikichemsha ndo nitaenda option no. 2!
 
ndugu zangu wale wa mwaka wa kwanza kama umezoea kujisomea peke yako huko advance chuo ni sehemu ya kushere na kudiscus na wenzio ukijichimbia peke yako utadondokea pua na ukajuta baadae penda kujisomea kwa makundi hiyo ndio siri ya kufaulu vizuri.

Thanks for your advice
 
Back
Top Bottom