mdebwedo100
New Member
- Oct 7, 2013
- 2
- 0
ndugu zangu wale wa mwaka wa kwanza kama umezoea kujisomea peke yako huko advance chuo ni sehemu ya kushere na kudiscus na wenzio ukijichimbia peke yako utadondokea pua na ukajuta baadae penda kujisomea kwa makundi hiyo ndio siri ya kufaulu vizuri.
Kusoma kwa makundi ni moja ya mbinu nzuri kufaulu na pia misuli muhimu sanaaa after discussionndugu zangu wale wa mwaka wa kwanza kama umezoea kujisomea peke yako huko advance chuo ni sehemu ya kushere na kudiscus na wenzio ukijichimbia peke yako utadondokea pua na ukajuta baadae penda kujisomea kwa makundi hiyo ndio siri ya kufaulu vizuri.
ndugu zangu wale wa mwaka wa kwanza kama umezoea kujisomea peke yako huko advance chuo ni sehemu ya kushere na kudiscus na wenzio ukijichimbia peke yako utadondokea pua na ukajuta baadae penda kujisomea kwa makundi hiyo ndio siri ya kufaulu vizuri.
Sikuwahi kufanya discussion maisha yangu yote ya chuo.... na nilitoboa kama kawa, kichwa cha mtu
Sikuwahi kufanya discussion maisha yangu yote ya chuo.... na nilitoboa kama kawa, kichwa cha mtu
Hahaha
Uko kundi la watu wanaitwa Golden Boys, hongera sana.
mkuu, kinacho fanya elimu ya chuo iwe ngumu kwa baadhi ya watu ni kutoka na wao kua na mambo mengi kuliko uwezo wao wa kuyakabili, na ndio maana utaona wanafunzi wengi wana tabia ya zima moto... ila kwa chuo ukiwa makini na unacho kifanya na kuzingatia mda.... mbona mambo yanaenda kama unasukuma mlevi....
hadi chuo wanafunzi wenzangu wakawa wana niita One man army....
Mkuu nionavyo mimi vyote vinahusika, yaani msuli wa pekee na mijadala ya pamoja vyote ni muhimu.
Kabla hujaenda ktk mjadala na wenzako inakubidi upige msuli kupitia mada mtakayoijadili kisha mkikutana kila mmoja anajadili yale aliyoyapigia msuli na kuyaelewa. Vilevile mkimaliza mjadala kila mtu kwa muda wake ataenda kupitia mliyoyajadili ili kukazia maarifa.
Kwa kifupi ni kwamba huwezi kushiriki mjadala kwa mapana zaidi bila kuwa na uelewa japo kidogo kuhusu mada husika.
Msuli na Mijadala ni muhimu kwa matokeo mazuri zaidi. Nawasilisha.