Chuo ulichosoma kina athari katika kupata ajira?

slmmfm

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
304
Reaction score
65
Nikisoma Bsc in education katka vyuo vya private haitonisumbua kupata ajira serekalini??

NAOMBA MAWAZO YAKO.
 
Unapata ajira bila shaka, labda kama kwenye taasisi au shule za binafsi ndio tatizo maana hadi uwe na vyeti vya dini, sijui vya ubatizo n.k lakini serikalini ni la manyani kila mtu anaajiriwa bila kujali chuo gani alisoma. Kasome na ajira utapata tu.
 
Nikisoma bsc in education katka vyuo vya private haitonisumbua kupata ajira serekalini??
NAOMBA MAWAZO YAKO.
kama unaweza nenda vya serikal baada ya mwakan ualimu utakuwa unasumbua kupata kaz labda kama sayans.
 
Ajira ni kwa wote maana hata vyuo vya private wanaosoma ni wa tz what matters ni gpa ama perfomance yako so do ua best ajira unapata kiulaini.
 
Usiogope kama TCU washakipitisha it means kiko known kiserikali so ajira kama kawaaa kk....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…