Chuo unachokwenda 2013/2014 na ndugu zako wa Ukoo - TCU/CAS

President Elect

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
693
Reaction score
212
Kwa mfano umechaguliwa Mzumbe University na unataka kujua ndugu zako wa ukoo mtakaoingia pamoja chuoni, nenda CAS katika website ya TCU, kwenye selection results gonga jina la ukoo kwenye surname halafu bofya search! Naona kina Masanja, Mollel, Mohamed, Musa, Mushi, Ngowi, Massawe, Lyimo, nk, wamefanya vizuri mwaka huu!
 
kila mtu ni ndugu yako huo! Angalia 2 ukoo utamaliza chuo huyo uliye mu search hutamuona kamwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…