mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
ndugu yangu mimi advanced level nilisoma PCM Mzumbe na Ilboru...nakumbuka ikafika kipindi wakati nasubiri kuingia chuo nilikiri kwamba hakuna msuli mgumu kama wa advanced level...lakini nilipofika chuo mwaka wa 3 pale CoET nikajua kwamba chuo ni balaa kwa maoni yangu nadhani ugumu wa msuli unadepend na course unayosomaWapi pagumu zaidi wadau tupia maoni yako katika comment !!