chuo vs jkt

pesajr

Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
6
Reaction score
0
ivi awa jkt wana akili kweli na awo tcu mbona awasemi chuo lini maana 2mechoka sasa kila cku chini ya kapet 2, jaman 2julshen kama jesh kwanza au ni chuo:disapointed::disapointed:
 
chuo na jkt vyote vitaendelea kwa wakati mmoja mwezi 5...
 
je kwa waliopitia jkt inatoa mafunzo yanayoendana na maisha ya sasa o nimipango ya watu na kama ni kwel mbona hawajaweka waz o mafunzo hayana kalenda maalum!
 
duh kama mwez wa 5 ngoja ningie ukerewe kwa bb nikavue aise
 
Ambao hamjaenda jkt sahaun tu make top clean wote washaenda nyie wenye div 3 zenu za H kunani subirin vyou mkasome dip au ualim tu,waliofanya vizur wote wamepita jesh na tr 24/9 wanatoka,Udsm 7/10 wannaanza,
 
mmmhh mbona comb za science wenye 3 wapo kibao hawajaenda jeshi bado?
 
sasa cbe kutoa majina ya wanafunz wao inamaana gan wakat tcu hawajatoa?
 
Siamini kama huku utapata majibu zaidi ya majungu. Andikia wizara au uende wizarani maana tcu hawana majibu vyuo havina majibu zaidi ya tarehe zilizo kwenye almanac zao
 
hiyo ni kweli kabisa sababu almanac za vyuo vingi ziko arranged muda mrefu hivyo mabadiliko hayo yanaanza mwaka huu .
 
ayo macalenda yao c'o inshu mbona ao necte walitoa ratiba ya mwez wa 5 kwa frm6 2012/13 na 2kafanya mwez wa 2. afu jamaa ackalili maisha kuna machine za EGM na 13 zao wapo mtaa so sio H 2
 
c'o ni clinical officer au?
ao necte ndio akina nani kwa hao form six?
 
Ambao hamjaenda jkt sahaun tu make top clean wote washaenda nyie wenye div 3 zenu za H kunani subirin vyou mkasome dip au ualim tu,waliofanya vizur wote wamepita jesh na tr 24/9 wanatoka,Udsm 7/10 wannaanza,

Yani wewe ndo ------ kweli kweli....hujasoma wewe na kama umesoma hujaelimika....masikini akipata kweli ----- hulia mbwata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…