Chuo

Chuo

King klax

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
4,307
Reaction score
2,754
Nina principal moja ya kiswahili na subsidiary moja ya history na mengine ni F(HGK) kama hapo napaswa nikasomee kipi ambacho kitanifaa na kupata kazi kwa urahisi naombeni ushauri wenu.....
 
Kama upo Dar.nenda Viwanja vya sabasaba Leo au kesho kuna maonyesho ya vyuo vyote vilivyopo Tanzania na wanajibu maswali hapo hapo
 
Back
Top Bottom