King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,307 Reaction score 2,754 Jul 24, 2015 #1 Nina principal moja ya kiswahili na subsidiary moja ya history na mengine ni F(HGK) kama hapo napaswa nikasomee kipi ambacho kitanifaa na kupata kazi kwa urahisi naombeni ushauri wenu.....
Nina principal moja ya kiswahili na subsidiary moja ya history na mengine ni F(HGK) kama hapo napaswa nikasomee kipi ambacho kitanifaa na kupata kazi kwa urahisi naombeni ushauri wenu.....
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,409 Reaction score 6,773 Jul 24, 2015 #2 Kama upo Dar.nenda Viwanja vya sabasaba Leo au kesho kuna maonyesho ya vyuo vyote vilivyopo Tanzania na wanajibu maswali hapo hapo
Kama upo Dar.nenda Viwanja vya sabasaba Leo au kesho kuna maonyesho ya vyuo vyote vilivyopo Tanzania na wanajibu maswali hapo hapo