Jaribu kufikiri hivi.....Juzi kati mchana kweupe kabisa, makaburi yako very open, barabara ipo busy tu, yani haiwezi katika dakika 3 boda haijapita nmemkuta mdada kawasha mishumaa 2, kakalia kaburi, anaendelea na matambiko yake.
Dunia ngumu sana hii.
Juzi kati mchana kweupe kabisa, makaburi yako very open, barabara ipo busy tu, yani haiwezi katika dakika 3 boda haijapita nmemkuta mdada kawasha mishumaa 2, kakalia kaburi, anaendelea na matambiko yake.
Dunia ngumu sana hii.
Najua kuna kwenda kuosha kaburi na kuomba. Ila Dalili zote zilizokuwepo eneo la tukio ni ushirikina flani, sio maombi.Kibaya apo ni kipi hii nchi watu wamesoma ila wenggi wako kama hawana akili vile watu kwenda makaburini kuwatembelea wapendwa wao waliowaacha mnaona shidaa ila kwenda makka au yerusalemu kwenda kutembelea makaburi ya watu ambao hamna ata undugu nao tena mnayazunguka Mara kibao na kuweka mishumaa juu mnaona sifa kabisa kwamba mnapata baraka za Mungu stupid kabisa nakukumbusha tu kama baba yako au mama yako au babu yako mmoja wapo kafariki na huendi kutembelea makaburi yao kusafisha na kuweka ssadaka yoyote pale wee ni mpumbavu wakutupwa kabisa
Sio uchawi acha kukariri. Hilo ni tambiko kama mengine tunayowafanyia wapendwa wetu waliotangulia. Leta lingine...Nilipita njia ya makaburini, nikakuta kwenye baadhi ya makaburi kwa juu kumewekwa chupa ya chai na vikombe vya chai, kuna moja ya wazee waliopo hapo maeneo ya karibu aliniambia hizo chupa na vikombe unaona vimechoka ila kwenye ulimwengu wa roho hizo ni chupa mpya na vikombe vipya kabisa..
Niliwaza walioweka chupa za chai na vikombe walikuwa na nia ya kufanya uchawi gani hapo
Am just curious, wenye ujuzi wa hayo mambo watujuze, au ni wapita njia wanarusha roho watu, au ni watu waloenda kwa waganga Wakapewa ayo masharti Mshana Jr LIKUD
Ur the true son of ur fatherKibaya apo ni kipi hii nchi watu wamesoma ila wenggi wako kama hawana akili vile watu kwenda makaburini kuwatembelea wapendwa wao waliowaacha mnaona shidaa ila kwenda makka au yerusalemu kwenda kutembelea makaburi ya watu ambao hamna ata undugu nao tena mnayazunguka Mara kibao na kuweka mishumaa juu mnaona sifa kabisa kwamba mnapata baraka za Mungu stupid kabisa nakukumbusha tu kama baba yako au mama yako au babu yako mmoja wapo kafariki na huendi kutembelea makaburi yao kusafisha na kuweka ssadaka yoyote pale wee ni mpumbavu wakutupwa kabisa
Huu ujinga usinikuteKiasili Muafrika na hasa Mwefrika masikini ni kazi sana kujitenga na imani za kishirikina