Kuna video inaonyesha yai la chupa ya chai katikat ya ukuta wa kwanza na pili kuna vidonge kama dawa viantolewa. Kwa wataalumu wa niambieni ni vyanini kama sio dawa vina kazi gani?
Ni video ya uzushi na wanao laumu kwa makampun ya chupa za chai katka ile video ni mambumbumbu wasiojua nn maana ya technology....vile sio vidonge bali ni karatac yenye fibles fulan hv na kaz yake kubwa nikutenganisha kuta mbili za kwenye yai la chupa ya chai......wa tz tuache umbumbumbu wakushutumu kila k2 ni u freemason! Kama ni hvyo achen kutumia cm zenu kwan zina vidoge ndani😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.